VISA NA MIKASA

HEBU FUATILIA MKASA HUU WA KWELI WA MAISHA

Juzi kati hapa nilipokea ushuhuda wa Brother mmoja ambae pia alikuwa kama anaomba ushauri pia,anasema yeye ni mfanyabiashara mkubwa wa viatu kuna kip…

MKASA WA KUSISIMUA | HUYU NDIYE "MAMA WA KUIGWA

Inasikitisha sana Rahema alifika nyumbani mbio mbio na kumkuta mama yake aliyekua migombani akipalilia viazi vyake, "Mamaaa, hodi hodi humu nyum…

KISA KIDOGO CHA MKWAWA AMBACHO HUKUFUNDISHWA SHULENI.

Wajerumani walipovamia Tanganyika walipigana vita na ngoma nyingi sana, ila katika maisha na hadi leo katika kumbukumbu za maisha yao, Mtu anaitwa Mk…

KISA CHA KWELI | kijana alionekana akisoma Qur'an Jela

KISA CHA KWELI Mfahamu kijana huyu aliyeonekana akisoma Qur'an jela,jina lake ni Nafis Yaqoub ni kijana wa Thailand ambaye aliingia Malaysia kiny…

Naomba ushauri wako kuhusu kaka yangu

Naomba ushauri wako, mimi ni Binti wa miaka 27, sijaolewa na kwasasa nipo kwenye mahusiano ya kawaida na yanaenda vizuri. Sikuja kukuomba ushauri kuh…

KISA: MAMA MKWE ANATAKA NIOLEWE LAKINI MCHUMBA WANGU HANITAKI

Mimi ni Binti wa miaka 30, sijaolewa ila nina mchumba ambaye naishi kwao, ni mwaka wan ne sasa anishi kwa mchumba wangu, wazazi wake wananipenda laki…

KISA: BABA MKWE AMPENDI MKE WANGU

Mimi ni kijana wa miaka 28 nimeoa na ndoa yangu ina miaka miw3ili sasa hivi, mimi na mke wangu tuko vizuri lakini shida nikuwa, Baba mkwe wangu ni ka…

NIMECHANWA CHANWA USO, MIMBA IMETOKA NA MWANAUME HANIELEWI!

Habari Kaka naomba ushauri wako, mimi ni Mama wa watoto wawili, siulizii kuhusu mume wangu kwani hana tatizo, anahudumia familia na kila kitu napata.…

MY STORY | MKE WANGU NA MMUDU MWENYEWE NDIYO MAANA NILIMUOA!

Ghafla mke wangu alikua hana amani, kila nikirudi nyumbani anakua kachoka, anakua kugugumia maumivu lakini hasemi. Ndiyo kwanza alikua ametoka ku…

MKASA MAALUM WA KUSISIMUA: MWISHO WA UBAYA AIBU

#inasikitisha sana Robert baada ya kumaliza chuo kikuu na kupata kazi katika kampuni moja pale ilala jijini Dar es Salaam alimuoa binti mmoja mwanafu…

MUME ATEMBEA NA BINTI YAKE KWA MIAKA 7

Kaka naomba unisaidie kwani mimi mwenyewe siwezi, Mimi ni Mama wa miaka 37, nimeolewa na ndoa yangu ina miaka  15 sasa, nina watoto watatu na mkubwa …

Copyright ©BongoLife - All rights reserved.

Redesign by bloggun.xyz
Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
More Details