Jinsi ya kutengeneza Stimulate Shampoo ya nywele natural Jinsi ya kutengeneza stimulate shampoo Itumie kwa ajili ya kuipa afya ngozi yako ya kichwa na kustimulate ukuaji wa nywele. shampoo hii inatumi…
JINSI YA KUTENGENEZA SHAMPOO YA NORMAL HAIR Jinsi ya kutengeneza shampoo hi shapoo ni nzuri kwa ajili ya nywele za kawaida (normal hair), Au unaweza kuitumia kama base ya kuchanyia scents…
Jinsi ya kutunza nywele zako | Natural hair kuna vitu vingi vinavyoweza kufanya nywele zako zikakosa afya na mvuto, vitu kama vumbi, upepo, mvua, jua, maji na madawa tunayoweka kwenye nywele z…
STEAMING MCHANGANYIKO 1; Kiini cha mayai 3,juice ya limao vjko 2, mzeituni kjko 1 na nusu na asali kjko 1 mix vzur. Pakaa kwenye nywele ambazo umeshaziosha vzur na shamp…
Steaming ya nywele za asili | Natural hair product Mahitaji;- -parachichi -yai la kuku Wa kienyeji -Asali hatua: i) chukua parachichi lako likate toa ile nyama ya ndani weka kwenye chombo ili utengene…
Kuza nywele kwa haraka | Natural hair Kila baada ya siku nne uwe na utaratibu wa kupakaa mchanganyiko wa hina na mayai, iwe na paste nzito kiasi, upake katika mizizi ya nywele, ukimaliza …