Mapishi

Elimu ya upishi wa keki

KEKI: (JIELIMISHE UNUFAIKE) MASWALA YA UPISHI WA KEKI: Tunaangalia matatizo yanayotukumba katika upishi wowote ule wa keki (hata mkate wa mayai ni k…

JINSI YA KUPIKA MAKARONI YA MADUARA YA NYAMA YA KUSAGA(MEAT BALLS MACARONI)

* MAKARONI YA MADUARA YA NYAMA YA KUSAGA(MEAT BALLS MACARONI)* MAHITAJI YA KUPIKA MAKARONI YA MADUARA YA NYAMA YA KUSAGA(MEAT BALLS MACARONI). 1.Pakt…

JINSI YA KUANDAA SMOOTHIE YA STRAWBERRY NA NDIZI

SMOOTHIE YA STRAWBERRY NA NDIZI MAHITAJI YA SMOOTHIE YA STRAWBERRY NA NDIZI Vikombe 2 strawberries Ndizi 1 Vikombe 1½ maziwa Kikombe 1 mtindi mzito,…

JINSI YA KUTENGENEZA BUTTERCREAM YA KUPAMBIA KEKI

🍃🍇BUTTERCREAM YA KUPAMBIA KEKI. MAHITAJI YA BUTTERCREAM YA KUPAMBIA KEKI . Siagi isiyokuwa na chumvi gram 150 🍃Icing sugar gram 500 🍃Arki ya vani…

JINSI YA KUANDAA JUICE YA UKWAJU NA TANGAWIZI

JUICE YA UKWAJU NA TANGAWIZI MAHITAJI YA JUICE YA UKWAJU NA TANGAWIZI ukwaju kiasi sukari robo hiliki ya unga kijiko kimoja cha chai maji kiasi Tanga…

JINSI YA KUANDAA JUICE YA NANASI NA EMBE

JUICE YA NANASI NA EMBE MAHITAJI YA JUICE YA NANASI NA EMBE Nanasi Kikombe 1 Embe Kikombe 1 Sukari vijiko 5 Arki Vanilla kiduchu Maji ya baridi Viko…

JINSI YA KUANDAA SMOOTHIE YA PAPAI NA NDIZI MBIVU

PAPAI NA NDIZI MBIVU SMOOTHIE MAHITAJI YA SMOOTHIE YA PAPAI NA NDIZI Kikombe 1 cha chai maziwa fresh ¼ kikombe cha chai mtindi mzito. Kijiko 1 cha …

JINSI YA KUPIKA MIGUU YA KUKU

𝕄𝕒𝕙𝕚𝕥𝕒𝕛𝕚 : Miguu kiasi chako ndimu/limau au ukwaju Mtindi (ukipenda) Pilipili manga Manjano kitunguu swaum na tangawizi giligilani Chumvi kia…

JINSI YA KUPIKA CHOCOLATE COVERED CAKES

Chocolate coverd cakes  Mahitaji ya kupika chocolate covered cakes Melted Choclate  Rangi  Keki yoyote Jinsi ya kuandaa chocolate covered cakes Zivur…

JINSI YA KUTENGENEZA JUICE YA EMBE BICHI

JUICE YA EMBE MBICHI  MAHITAJI YA KUTENGENEZA JUICE YA EMBE BICHI 2 Maembe mabichi 1 kikombe sukari (unaweza kupunguza) 3 vikombe maji masafi ya kun…

NJIA YA KUHIFADHI MAHARAGE YAKAE ZAIDI MWAKA BILA KUHARIBIKA NA KUTOA WADUDU

DONDOO JIKONI NJIA YA KUHIFADHI MAHARAGE YAKAE ZAIDI MWAKA BILA KUHARIBIKA NA KUTOA WADUDU -chukua maharage yako, ukipenda unaweza kuyatoa taka kab…

JINSI YA KUPIKA BIRIANI

Mahitaji ya kupika Biriani 1.Mchele wa Basmat 1/2 Kg 2.Nyama ya Mbuzi Stake 1/2 Kg 3.Viazi mbatata vikubwa 1/4Kg  4.Vitunguu maji 1/2 Kg  5.Nyanya Ku…

JINSI YA KUPIKA BAJIA ZA SAMAKI

BAJIA ZA SAMAKI 🐟😋 MAHITAJI YA KUPIKA BAJIA ZA SAMAKI: Samaki wa mnofu vipande 2, vikubwa Pilipili manga kijiko cha chai  Maji ya ndimu kiasi  Baki…

JINSI YA UANDAAJI MAZIWA YA SOYA

Maziwa ya Soya - Aina hii ni maarufu pia, na kwa kuwa yanatokana na mimea, maziwa haya hana cholesterol ( lehemu) - tofauti na maziwa ya kawaida - Ma…

JINSI YA KUPIKA KASHATA ZA UNGA WA UBUYU

KASHATA ZA UNGA WA UBUYU MAHITAJI YA KUPIKA KASHATA ZA UNGA WA UBUYU -unga Wa ubuyu 1/2 -sukari 1/2 - Rangi kijiko 1 cha chakula -vanilla kifuniko 1…

JINSI YA KUPIKA DONUTS

Vipimo vya KUPIKA donuts Unga - 3 ¾ vikombe Maji dafudafu (warm) - ½ kikombe Maziwa dafudafu - ½ kikombe Yai - 1 Siagi (butter) - 1/3 kikombe Suka…

JINSI YA KUPIKA MKATE WA MCHELE

JINSI YA KUPIKA MKATE WA MCHELE ♣️ 1 cup mchele nimetumia chenga za basmat(broken basmat) roweka usiku mzima, or Pishori. ♣️1 and ¼ cup tui kisha toa…

🎾MAKOSA UNAYOFANYA KATIKA UPISHI WA CAKE

🎾CAKE KUWEKA MASHIMO SHIMO KWA NDANI -Umetumia mayai mengi kuliko yanayotakiwa -Hukuchanganya vizuri mchanganyiko wako wukawa sawa 🎾KEKI KUJAA MAFU…

DONDOO ZA JIKONI

1🧂Ukiandaa nyama kwa viungo kama tangawizi, thomu na masala ongeza mafuta kidogo na mtindi vijiko viwili utafurahi. 2🧂Ukikosa vanilla unaweza saga …

JINSI YA KUFANYA KIPORO CHA WALI KUWA FRESH

Unaamshaje kiporo cha wali kuwa fresh?  Kunamuda unakuta chakula kimebaki kingi, hata unywee chai bado kipo.  Mimi hua natumia njia hii k…

Copyright ©BongoLife - All rights reserved.

Redesign by bloggun.xyz
Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
More Details