Mahusiano

Mbinu 6 za kutongoza | Mahusiano

Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu. Kuna sanaa zingine za ushawishi kama vile ushawishi wa kibiasha…

ZIJUE SEHEMU ZENYE HISIA ZAIDI KWA MWANAMKE.| DARASA LA MAPENZI NA NDOA

💝ZIJUE SEHEMU ZENYE HISIA ZAIDI KWA MWANAMKE.💝 Tendo la ndoa ni sanaa, na sanaa ni ufundi wa kuwasilisha mawazo yaliyo katika fikra za mwanadam…

AINA 10 YA WANAWAKE WANAOPENDWA NA WANAUME

1. *WENYE MSIMAMO* Wanawake daraja la kwanza wanaopendwa zaidi na wanaume ni wale wenye msimamo, uelewa mkubwa wa mambo na maamuzi sahihi, wako makin…

KWA MWENENDO WENU,WADADA BAADHI,MTANGOJA SANA KUOLEWA

Wanaume tunapata lawama sana,si waoaji,wamezoea kuchezea wanawake. *Hapana wapo waoaji ila waolewaji chenga tupu,wamejawa na tamaa,awasomi alama za …

SABABU 10 KWA NINI MNATAKIWA KUFANYA TENDO LA NDOA ASUBUHI MARA KWA MARA KWA WANANDOA

*♦Tendo la ndoa ni kitu ambacho watu hudhani kuwa kinatakiwa kufanywa usiku. Naam, unaweza kufanya tendo la ndoa muda wowote, lakini ukweli ni kwamba…

WADADA NAWAPENDA ILA MNISAMEHE KIDOOOGO

*KWENU WADADA* *WADADA NAWAPENDA ILA MNISAMEHE KIDOOOGO. Hakika ni kwamba Wanaume wengi hawajafikia ndoto zao, wanatamani kupata Wanawake watakaowati…

KUFILISIKA NI JAMBO MOJAWAPO TARAJIWA KWA MFANYABIASHARA

kuna watu wanajisikia aibu kukiri kufilisika. Ni jambo la kawaida tu mtu kufilisika. Unapofanya biashara unakuwa na leseni ya biashara, unalipia kod…

NI RAHISI SANA KUPATA MAFANIKIO UKIWA NA MKE WA KAWAIDA

NI RAHISI SANA KUPATA MAFANIKIO UKIWA NA MKE WA KAWAIDA KULIKO KULIKO KUWA NA BINTI MREMBO PASUA KICHWA NDANI YA NYUMBA NDO MANA MATAJIRI WAKUBWA DUN…

MOYO WA MWANAMKE

*__*     Moyo waliopewa WANAWAKE akipewa Mwanaume hata kwa Siku 2 tu LAZIMA AFARIKI! Ule uwezo wa kuvumilia Maumivu ya Kuzaa ndio huwa unawafanya wav…

NATAMANI MAHOUSEGELI WOTE WANGEKUA HIVI

NDANI YA CHUMBA CHA BINTI WA KAZI [house girl] Baba anavamiwa na pepo wa ngono anajikuta anawaka tamaa kwa binti wa kazi ambaye ni kama mtoto wake wa…

VALENTINE DAY SIO SIKU YA WAPENDANAO KWA DHANA YA KIDUNIA

*THE VALENTINE DAY* ____________________________ Historia na asili ya siku hii ni *Mt Padre Valentino Shahidi wa dini* huko Italia. Mkuu wa dola ya …

OKOA NDOA YAKO AU MAHUSIANO YAKO

Mpende mke wako mzuri Usimkaripie mke wako ukiwa unaongea nae. Inamuumiza sana. Mithali 15:1 Usimuongelee ubaya kwa mtu yeyote. Mke wako atakua kile …

AKESHA KOJOA TU YY HATA HAJAL UMERIZKA AU LAA TENA NIMARAMOJA TU

Jaman hbr zenu wapenz mm nnaitaji ushaur wenu " jaman mm nnaish kwenye ndoa nna mwaka namiez mitatu nimeish nae muda wote kwa mackilizano namael…

NJIA 6 ZA KUENDELEZA MOTO WA MAHABA KATIKA NDOA YAKO

⏩haiitaji mambo makubwa kuundeleza moto wa mahaba ktk ndoa yako, mambo madogo madogo unayoyapuuza na kudhani sio ya muhimu ndio Hasa yanachangia paku…

HASSAN MCHEPUKO ALIYEIMARISHA NDOA YA JOHN

Habari yako bwana HASSAN Narumaini hatufahamiani.mimi naitwa mr JOHN au baba Hellen.mkewangu ni ANITA ambae kwa sasa ndio baby wako kipenziiii kwa …

Wanawake na wanaume nani katuloga?

Wanawake na wanaume nan katuloga wapendwa mbona wengi wetu huwa hatuongei ukweli kwenye suara la mahusiano Nilibahati kumpenda Dada mmoja alikuwa tay…

UNATAKA KUITEKA AKILI YAKE BASI MUAMBIE UNAVYOJISIKIA!

UNATAKA KUITEKA AKILI YAKE BASI MUAMBIE UNAVYOJISIKIA! Mara nyingi wanaume ni watu wa vitendo zaidi kuliko maneno, lakini wanasahau kua wanawake hupe…

UKWELI HALISI...MWANAMKE JIFUNZE HAYA ULINDE NDOA YAKO/UCHUMBA WAKO

UKWELI HALISI... MWANAMKE JIFUNZE HAYA ULINDE NDOA YAKO/UCHUMBA WAKO 1. Ukiwa Kama mwanamke, pale panapotokea maudhi dhidi ya mpenzi wako, nyamaza ki…

TATIZO LA KUWAHI KUFIKA KILELE (PREMATURE EJACULATION) NA TIBA YAKENA TI

CHAI YA FIKRA NA MAHABA

CHAI YA FIKRA NA MAHABA Ni ipo hiyo chai ya Mahaba?? Nikiongelea chai ya Mahaba usije ukasema unaenda kuipika sasa hivi tena ukajiuliza yatiwa tangaw…

Copyright ©BongoLife - All rights reserved.

Redesign by bloggun.xyz
Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
More Details