KUNA UKWELI KWAMBA WANAUME WANAONGOZA KWA UONGO KATIKA NDOA Inasemekana baadhi ya wanaume wanaongoza kwa uongo ktk ndoa/mahusiano je kuna ukweli juu ya hili??
MADA YA LEO - mahusiano na mtu ambaye hamuongei lugha moja MADA: Unaweza kuwa kwenye mahusiano na mtu ambaye hamuongei lugha moja? na kwanini?
NDIO UMETOKA SAFARI YA KIKAZI Imagine umetoka safari ndefu yakikazi kufka home issue n hyo utafanyaje