MOYO ULIOJAA MAUMIVU

NIPE KIDOGO SEHEMU YA 07, 08, 09, 10 & 11

NIPE KIDOGO.....7      “Vijana fanyeni kazi yani wote wafe hawa” Alitoa amri lakini kabla hawajafanya kitu wakashangaa Brown ameinuka nakumkaba yule …

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 44

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 44 Theo hakuwa na habari, alifika mahali hapo kwa kazi moja tu. Aliwaona wanawake wote kuwa sawa, kichwa chake kilikuw…

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 43

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 43 Wakati Theo akijiandaa kwenda kufanya video nchini Afrika Kusini, kampuni ambayo ilikuwa ikitarajiwa kufanya video …

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 42

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 42 Huyo aliitwa Iyanya Kobero, msichana wa Kizulu aliyekuwa na urembo wa kila namna. Alikuwa mwembamba, kiuno chake ki…

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 41

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 41 “Iyanya...” ilisikika sauti ya mwanaume mmoja kutoka kwenye gari moja la kifahari, Hummer nyekundu iliyokuwa imepak…

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 41

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 41 “Iyanya...” ilisikika sauti ya mwanaume mmoja kutoka kwenye gari moja la kifahari, Hummer nyekundu iliyokuwa imepak…

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 40

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 40 Kuhusu suala la ugonjwa wa Rachel, Theo hakutaka kumwambia mke wake, alijua kabisa angemchanganya zaidi hivyo aliam…

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 39

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 39 Aliumia moyoni mwake, kile alichoambiwa hakutakiwa kukisikia kabisa, alikumbuka jinsi alivyoishi na mume wake, wali…

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 38

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 38 Violeth alikuwa akilia, Theo alivyomwangalia, alishindwa kuvumilia, akaenda pembeni na kuanza kulia. Moyo ulimuuma …

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 37

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 37 Theo alibaki akimwangalia mke wake pale kitandani alipokuwa. Moyo wake ulimuuma mno, swali alilomuumiza likamfanya …

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 36

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 36 Maumivu aliyokuwa ameyapata yalikuwa ni mara tano ya yale ambayo angeyapata mke wake. Aliumia, hakutamani kuona mke…

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 35

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 35 Ilikuwa taarifa mbaya mno kwake, ilimuumiza kupita kawaida, alibadilika na kukosa tumaini kabisa moyoni mwake, alim…

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 34

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 34 Aliishika, aliibeba kana kwamba alikuwa mtoto mzima, alilia huku ikiendelea kuwa mikononi mwake. Hakujua ni kwa nam…

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 33

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 33 Mmoja alikuwa akilia sana lakini mwingine ilikuwa ni maiti tu ambayo ilifungwa vizuri. Maumivu yakazidi kuongezeka …

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 32

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 32 Theo aliendelea kuwa na hofu tele, muonekano wa daktari Yule haukumpa furaha hata kidogo. Kichwa chake kilikuwa na …

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 31

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 31 Alipoona amechoka, akausogelea mlango na kuanza kuugonga, alihitaji ufunguliwe ili aone kile kilichokuwa kimeendele…

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 30

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 30 Ilikuwa ni usiku mwingi, mke wake alipokelewa na kuingizwa ndani ya chumba kimoja kilichoandikwa ‘Labour’ mlangoni.…

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 29

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 29 Mara baada ya kujua kwamba Violeth alikuwa na mimba, makampuni mbalimbali yakaanza kujisogeza na kuomba kufanya nao…

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 28

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 28 “Nashukuru kwa kunithamini! Nitakusimamia na kukushauri kwa kila kitu my hubby,” alisema msichana huyo. “Nashukuru …

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 27

MOYO ULIOJAA MAUMIVU SEHEMU YA 27 “Na hiyo harusi itafanyikia hapa au Ufaransa?” aliuliza mwandishi. “Hapahapa Tanzania!” Kila walilolisema ndilo lil…

Copyright ©BongoLife - All rights reserved.

Redesign by bloggun.xyz
Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
More Details