I WILL BE BACK SEHEMU YA 15 I WILK BE BACK 15 Ilipoishia... Nilipokelewa na kitako cha bunduki usoni, ndani ya sekunde moja niliona giza zito mbele yangu nikaanguka chini nikapo…
I WILL BE BACK SEHEMU YA 14 I WILL BE BACK 14 Giza lilikua kubwa kupita kawaida wale wahalifu walikua na akili sana walibadilisha taa zote za nje na uani wakaweka taa za rangi z…
I WILL BE BACK SEHEMU YA 13 I WILL BE BACK 13 Maelezo ya Joel yaliniacha kinywa wazi, kila kitu kilichokua kimefanyika kilifanyika kisomi, mipango yote ilifuata intelejensia kub…
I WILL BE BACK SEHEMU YA 12 I WILL BE BACK 12 Ilipoishia. Sikutaka kuamini kama kweli mtu niliyemuona amesimama mbele yangu baada ya mimi kugeuka nyuma alikua ni. S…
I WILL BE BACK SEHEMU YA 11 I WILL BE BACK 11 Joel aligeuka nyuma na kunipigia saluti kisha akaendelea na safari yake fupi kurudi hotelini. Nilimuangalia kwa makini mpaka alipoi…
I WILL BE BACK SEHEMU YA 10 I WILL BE BACK 10 Kama mlinzi anavyoisubiria asubuhi kwa hamu, ndivyo Joel alivyokua na hamu ya kumtia mikononi Motemapembe. Kitendo cha wazungu kuja…
I WILL BE BACK SEHEMU YA 09 I WILL BE BACK 9 Kama yule dereva tax angetaka kunifanyia kitu chochote kibaya, kuniibia au kuniua angefanikiwa kiurahisi. Muda wote huo akili iliku…
I WILL BE BACK SEHEMU YA 08 I WILL BE BACK 8 Kitendo cha kuzuga kua nilikua nimelala kilimuokoa Joel dhidi ya mpenzi wake ambae hakugundua kama tulikua na ajenda ya siri. Dakik…
I WILL BE BACK SEHEMU YA 07 I WILL BE BACK 7 Ilikua ni siri kubwa sana halafu nzito, siri iliyotutoa machozi mimi pamoja na yule Joel kijana wa kizungu ambaye alikua amemdangany…
I WILL BE BACK SEHEMU YA 06 I WILL BE BACK 6 Ilikua ni majira ya saa 9 usiku wakati ndege ya shirika la serikali la Ethiopia inapoonekana kuchepuka katikati ya mawingu mazito ya…
I WILL BE BACK SEHEMU YA 05 I WILL BE BACK 5 Ilikua ni majira ya saa 7 na nusu usiku wakati sauti za vishindo na minong’ono zilionekana kusikika kwa mbali na kuuvunja ule ukimya…