Maswali wanayokumbana nayo blogger wengi.

Maswali wanayokumbana nayo blogger wengi.


 Je! Ni njia gani bora ya kutangaza blogi?

Ni muhimu kujiunga kwenye mitandao ya kijamii ambayo audience wako wanapatikana. Unahitajika kutambua ni platorm ipi wasomaji wako wanapatikana ( e.g Facebook, tweeter, pinterest or instagram), ndizo utakazo zitarget kwa kuziuptade na content mpya kutoka kwenye blog yako atleast mara tatu kwa siku. Soma zaidi kuhusu jinsi ya kuanzisha blog.

Jinsi gani naweza kuingiza pesa kupitia blog?

Blog inayo husiana na liestyle haitoweza kuingiza pesa nyingi kupitia matanagazo, hata kama utakuwa na wasomaji 100,000 kwa siku. Kuna njia nyingi zinazoweza kutumika ukiacha matangazo.

Glen Allsopp mwanzilishi wa ViperChill Alishawi kusema

I would focus on some kind of digital product, whether that’s an eBook, a video series or anything similar. I would remove the ads and put something more important in that prominent space.

Njia nyingine nzuri za kutumia ni pamoja na Brand partnerships na sponsored posts. 

Ni Platform gani nzuri kwaajili ya kuanziasha blog?

Platform nzuri kwaajili ya kufanyia blogging ni ile inayokidhi mahitaji yako. watu wengi hupendelea wordpress or blogger lakini tumblr inaweza ikawa ndio pendeleo kwako na ikawa rahisi sana kwako kuitumia kama blog yako inajihusisha na photography.

Kwa mtu ambaye ndio anaanza kujifunza au kuanzisha blog ningemshauri achague platform ambayo ni rahisi kutumia na kwa kupendekeza zaidi angechagua kati ya blogger na wordpress.

Jinsi gani naweza ongeza wasomaji kwenye blog yangu?

Ushauri naweza kukupa ni kuwa consistent kwenye kutengeneza content na kupost katika blog yako kwa ajili ya audience wako. Blogging inakuwaga na ushindani mkubwa kwahiyo jitahid kupost atleast mara tatu kwa week itasaidia.

Kingine pia ni layout ya blog yako. kuwa makini n ni kitugani cha kwanza ambacho wasomaji wako wanakiona kwenye blog yako. Hakikisha wasomaji wako wanaona kile walichokifuata kwenye blog yako kabla ya vitu vingine vyote. so kuwa makini na nini utakiweka kwenye sidebar yako hakikisha kiwe kana msaada kwa msomaji wako either kwa kuongeza thamani ya kilichakifuata kwenye blog yako au kwa kitu kingine kizuri ambacho kingeweza kuboresha maisha yake. 

Technique nyingine ni kujiunga na wasomaji wako kwenye platforms nyingine na blog zingine ambazo unazipenda. unapokuwa unachangia conversations nyingine, unapokuwa unaacha comments kwenye post ambazo ziko relevant na blog yako kunachance wasomaji wako wakawa wanakutafuta kupiti platforms nyingine.

Kuwa na wasomaji wengin sio rahisi lakini inalipa pale unapokuwa nao. So tumia mda mwingi kuwapa update wasomaji wako sio kwenye blog yako tu bali hadi kwenye social networks.

Kunahaja ya kuwa na moja ambayo utapost kila kitu au kuwa na blog moja kwa kila topic?

Kama unafanya blogging kama hobby au personal project unaweza ukawa na blog moja ukawa unapost topic yoyote ile utakayo penda na pia unaweza ukapost chochote kile na wakati wowote utakao penda, Lakini kama unafanya na unataka blogging iwe kama carrer yako inapendekezwa uwe-focused kwenye topic moja kwanza na utaute wasomaji watakao pendezwa na topic husika.

Kuna faida ya kuwa na blog moja ambayo inaongelea kitu kimoja mfano blog ya mapishi inayoongelea mambo yote yahusuyo mapishi. Hili linarahisi hata kwenye kutengeneza mwenokano wa blog yako na pia kwenye kufanya affiliate marketinh inakuwa rahisi kwakuwa blog yako inaongelea topic moja. Pili kwa kufanya hivi inkuwezesha kuwa na mda wa kutosha kwenye blog yako moja yenye topic moja kuliko kuwa na blog yenye topic nyingi au kuwa blog nyingi zenye topic tofauti tofauti, kwahiyo chagua topic unayopenda na anzisha blog ihusuyo topic husika.Where do you want to donate?

Traktir Kopi
Bank BCA - An. Asep Saepul Anwar/ Rek - 648xxxx
Treat the creator to coffee by giving a small donation. click the arrow icon above

Chapisha Maoni

Copyright ©BongoLife - All rights reserved.

Redesign by bloggun.xyz
Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
More Details