Jinsi ya kupata pesa kupitia matangazo kwneye blog yako.

Jinsi ya kupata pesa kupitia matangazo kwneye blog yako.

Kwanza kabisa matangazo ni njia inayofahamika sana ambayo blogger wengi hutumia kujiingizia kipato.

Je! wanatumiaje matangazo kuingiza pesa?

kwanza kabisa blogger anajiunga na Ad-Netwrok (Kampuni au mtandao wa matangazo) amabao utaweka matangazo kwneye blog yake. Ad-netwroks nyingi hutumia Targeted Ads. Hii inamaanisha kuwa matangazo hubadilika kutokana na anaye tazama blog, content ya blog na Content ambayo msomaji hupenda kusoma.

Soma zaidi kuhusu jinsi ya kuanzisha blog yenye mafanikio.

Ad-Networks Maharufu ambazo bloggers wengi hutumia

  • Adsense - Inamilikiwa na Google,  na huwa na msharti mengi ili kuweza kufanikiwa kupata matangazo kwa ajilia ya blog yako.
  • Adsterra - Hawana masharti magumu sema wanahitaji blog yako iwe na content. 
  • Propellerads - Hawa ndio wana lipa pesa nyingi kwa matangazo ya pop under.
  • Adcash - hawana msharti kabisa.
Njia kuu mbili ambazo blogger huwa wanalipwa kupitia Ad-Network ni Kupitia Paid Per Click (Kulipwa kwa kila click kwenye tangazo) na Paid Per Impression (Kulipwa kwa kila atakaye ona tangazo hata kama asipo lifungua).

Paid Per Impression

Matangazo ya haina hii watazamaji hawaitaji ku click tangazo husika ndio blogger aweze kulipwa. Blogger Analipwa kutokana na impressions, amayo ni idadi ya matangazo yaliyoonekana kwenye blog yake.

Paid Per Click

Kila mda ambapo tangazo kwneye blog yako litakuwa clicked, blogger atapokea pesa kutokana kiasi kilichowekwa kwa tangazo husika.

Je! Nani humlipa Blogger?

Mara nyingi, ad-Netwrok ambayo blogger amejiunga nayo ndio itakayo kuwa ikimlipa pesa aliyo pata kila mwisho wa mwezi. Lakini mda mwingi baazi ya Brands na makampuni humtafuta blogger directly na ndipo blogger anapatana nao ili aweze kuonyesha matangazo ya kampuni au product zao kwenye blog yake. kwenye situation kama hiyo brand au kampuni itapatana na blogger wenyewe kuwa watalipanaje.

Kama unalo swali lolote usisite kuandika kwenye comment box na ntakujibu.

Where do you want to donate?

Traktir Kopi
Bank BCA - An. Asep Saepul Anwar/ Rek - 648xxxx
Treat the creator to coffee by giving a small donation. click the arrow icon above

Chapisha Maoni

Copyright ©BongoLife - All rights reserved.

Redesign by bloggun.xyz
Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
More Details