Jinsi ya kuandika Post za blog

Jinsi ya kuandika Post za blog

Kuandika post ni kama kujifunza kuendesha gari unaweza ukajifunza kila kitu kihusucho uandishi wa post za blog kwa miezi kadhaa but amna kitakachokuandaa kwa jambo lenye pasipo kushika husukani na kuingia barabarani.

Kama tayari ushakuwa na uhitaji na utayari wa kuandika blog yako lakini bado aujui uanzie wapi. Basi kwenye post hii nitakuonyesha jinsi ya kuandika post nzuri za blog kwa kutumia hatua tano. Na kama bado hauna blog soma hapa jinsi ya kuanzisha blog yako.

Step Tano za unadishi wa post za blog

  1. Step 1: Plan post yako ya blog kwa kuchagua topic, tengeneza outline, fanya research na tafuta facts.
  2. Step 2:  Tengeneza kwa ufanisi Kichwa cha post yako (headline) ambayo itakuawa ya kuvutia na kuteka hisia za masomaji.
  3. Step 3: Anza kuandika post yako kwa kuandika kidogo kidogo au yote kwa ujumla. Kama aujui uanzaje kuandika, njia rahisi ni kuandika kama vile unaongea na mtu au unamuelezea mtu kitu. kitakachokuja kichwani kiandike. Na kama speed yako ya kuandika kwenye computer sio nzuri basi andika kwenye karatasi ukishamaliza ndio uandike
  4. Step 4: Tumia picha kuongeza information kwneye post yako na kuelezea vitu ambavyo ni ngumu kuelezea kwa maneno au kwa kuonyesha vielelezo vya post yako.
  5. Step 5: Edit post yako na hakikisha hamna point zilizo jirudia au maneno yakio kosewa na ingekuwa vizuri kumruhusu mtu mwingine akaisoma na kukupa feedback. Usiongope kukosea na usitake kuwa kuwa mkamilifi (perfect). 
Hizo ndia njia tano za kuandika post za blog. Njia hizo ndizo hutumia na blogger wengi maarufu ukiweza kuzifuta kwa ufanisi naamini post zako zitapata wasomaji wengi sana. Na kitu cha kufahamu ni kuwa post yako ya kwanza usitake iwe perfect ukitaka uweze kuwa mwandishi mzuri unatakiwa kuandika post nyingi na sio kubaki kwenye post moja ukitaka kuifanya iwe perect utakuwa umefail.

Napenda kufahamu changamoto unazopitia katika uandishi wako wa blog, usiogope share na mimi kwenye coment box au kwenye contact form na ntakuwa tayari kushirikiana na wewe.

Where do you want to donate?

Traktir Kopi
Bank BCA - An. Asep Saepul Anwar/ Rek - 648xxxx
Treat the creator to coffee by giving a small donation. click the arrow icon above

Chapisha Maoni

Copyright ©BongoLife - All rights reserved.

Redesign by bloggun.xyz
Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
More Details