Jinsi ya kutengeneza Stimulate Shampoo ya nywele natural

Tengeneza shampoo ya kustimulate ukuaji wa nywele na kurutubisha ngozi ya kichwa

Jinsi ya kutengeneza stimulate shampoo

Jinsi ya kutengeneza stimulate shampoo

Itumie kwa ajili ya kuipa afya ngozi yako ya kichwa na kustimulate ukuaji wa nywele. shampoo hii inatumia  mafuta ya tea tree na peppermint

Mahitaji ya kutengeneza Stimulate hair Shampoo:  • 1/4 cup distilled water
  • 1/4 cup liquid Castile Soap - Nimetumie unscented (isoyo na harufu), lakini unaweza kutumia utakayopenda.
  • 1/2 kijiko cha chai cha mafuta ya jojoba.
  • 1/8 kijiko cha chakula cha mafuta ya peppermint ( peppermint essential oil)
  • 1/8 kijiko cha chakula cha mauta ya tea tree (tea tree essential oil)

Steps za kutengeneza stimulate shampoo 


  1. Changanya vizuri vitu vyote kwa pamoja
  2. Hifadhi mchnganyiko wako kwenye chupa
  3. Tumia kama shampoo nyingine yoyote.

Where do you want to donate?

Traktir Kopi
Bank BCA - An. Asep Saepul Anwar/ Rek - 648xxxx
Treat the creator to coffee by giving a small donation. click the arrow icon above

Chapisha Maoni

Copyright ©BongoLife - All rights reserved.

Redesign by bloggun.xyz
Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
More Details