Jinsi ya kutengeneza shampoo
hi shapoo ni nzuri kwa ajili ya nywele za kawaida (normal hair), Au unaweza kuitumia kama base ya kuchanyia scents (harufu) nyingine uzipendazo.
Mahitaji ya kutengeneza shampoo yako ya normal hair:
1/4 cup distilled water
1/4 cup liquid Castile Soap - Nimetumie unscented (isoyo na harufu), lakini unaweza kutumia utakayopenda
1/2 kijiko cha chai mafuta ya jojoba, grapeseed, au vegetable oil yoyote ambayo ni mepesi
Steps za kutengeneza shapoo
changanya mahitaji yako yote kwa pamojaHifadhi mchanganyiko wako kwenye chupa.
Kabla ya kuitumia itikise ichanganyike vizuri ndio uitumie shampoo yako.
Hii shampoo sio nzito kama shampoo za kiwandani kwahiyo unapoitumia jaribu kukadiria kwa kuigeuza chupa yako ya shampoo ili iweze kutoka
Treat the creator to coffee by giving a small donation. click the arrow icon above