*Tahadhari kuna utapeli mkubwa unaofanywa na watu wanaotembea mitaani wakiwa wamevalia sare za kampuni ya simu na vitambulisho shingoni wakidai wana renew line wanasajiri kwa finger print na wakianza kukusajiri wanataka simu yako waimiliki wanafanya kwa vitendo na kukuomba password ili warekebishe kumbu kumbu za account yako ya pesa wakimaliza wanaondoka na baada ya masaa mawili kupita utapata sms zinazoonyesha umehamisha pesa toka kwenye simu yako kwenda kwenye simu nyingine au wakala. ukingalia salio unakuta wamehamisha salio umeibiwa. kuweni makini na. Watu hao na mnashauriwa kama unashida ya kusajiri line au kurekebisha kumbu kumbu zako nenda ofisi za kampuni yako ya mtandao wako wa simu. Ukipata ujumbe huu share na mwenzio wengi wameshalizwa*