HUYU NDIYE RUBANI WA NDEGE YA ETHIOPIA ILIYOANGUKA NA KUUA ABIRIA WOTE

Yared Getachew Mulugeta

Anaitwa Yared Getachew Mulugeta

HUYU NDIYE RUBANI WA NDEGE YA ETHIOPIA ILIYOANGUKA NA KUUA ABIRIA WOTE, YASEMEKANA ALIJARIBU KUOKOA IKASHINDIKANA

ndie alikuwa Rubani wa ndege Ethiopian airlines iliyoanguka jana  ambayo ilikuwa inatoka uwanja wa Addis Ababa kuelekea Nairobi.


Mulugeta alianza urubani toka mwaka 2010.


Inaelezwa ndugu Mulugeta alipambana kurudisha ndege uwanjani baada ya hitlafu ya ndege ila ilishindikana na kuanguka.


Ndege hiyo iliyoanguka jana ili nunuliwa Miezi minne(4) iliyopita. Abiria wote 149 na wafanyakazi 8 waliokuwemo kwenye ndege hiyo akiwemo yeye wamekufa baada ya ndege hiyo kulipuka. 


Rest in Peace Kijana.

Where do you want to donate?

Traktir Kopi
Bank BCA - An. Asep Saepul Anwar/ Rek - 648xxxx
Treat the creator to coffee by giving a small donation. click the arrow icon above

Chapisha Maoni

Copyright ©BongoLife - All rights reserved.

Redesign by bloggun.xyz
Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
More Details