STEAMING MCHANGANYIKO

1; Kiini cha mayai 3,juice ya limao vjko 2, mzeituni kjko 1 na nusu na asali kjko 1 mix vzur.
Pakaa kwenye nywele ambazo umeshaziosha vzur na shampoo kisha kaa nayo kwa dakka 10-15 kisha uoshe tena nywele zako kwa maji mengi.
Yai n nzur kwa nywele maana hung'arisha nywele.
Olive oil(mzeituni) hufanya nywele ziwe imara na kudumu bila kukatika.
Asali huongeza unyevuunyevu kwenye nywele.
Limao huzuia kukatika kwa nywele.


2; Ndizi 1,vijiko 3 vya asali,vijko 3 vya Maziwa fresh,vijko 3 vya olive oil,na kiini cha yai.. Changanya vyote vizur kisha pakaa kwenye nywele zako na kaa nayo kwa dakka 15-30 kisha osha vzur nywele zako kwa shampoo na maji safi..
Ndizi ni miongon mwa vitu muhim sana kwenye nywele maana huzuia kukatika na n nzuri kwa watu wenye nywele ngumu na zilizokakamaa..


3;  chukua vjko 2 vya apple cider vinegar (ACV),, kjko cha kmoja cha asali na maji vikombe 2... Changanya vyote vizur..
Ukushaosha nywele suuza na huu mchanganyiko..
Kwakuongeza maji ili kudilute Apple cider vinegar kutokana acetic acid iliyopo..
Apple cider vinegar husaidia kustawisha nywele vzur..


4; changanya kiini cha yai, vjko 6 vya maziwa mgando vizur. Pakaa vizur kwenye nywele na kaa nayo kwa dakka 15-30. Kisha uoshe vzur nywele zako.
Maziwa mgando hutumika kama solution ya mengi kwenye nywele kutokana na uwepowa protein na lactic acid ambayo husaidia kuimarisha na kusafisha ngozi ya kichwa..

5;chukua kjko 1 cha mafuta ya Nazi, kjko 1 cha asali, kjko 1 cha juice ya limao na vjko 2 vya maji ya rose.. Changanya vyote vizur kisha pakaa kwenye nywele zako ulizoziosha tayar na kaa nayo kwa dakka 10-15 baada ya hapo osha nywele zako kwa maji safi..
Mafuta ya Nazi huzing'arisha,hulainisha na kukuza nywele kutokana na minerals na fatty acid iliyopo kwenye mafuta ambapo pia husaidia na kung'arisha ngoz ya kchwa..

Where do you want to donate?

Traktir Kopi
Bank BCA - An. Asep Saepul Anwar/ Rek - 648xxxx
Treat the creator to coffee by giving a small donation. click the arrow icon above

Maoni 1

  1. Jinsi ya kutunza nywele zako | Natural hair

    . . https://www.bongolives.com/2019/02/steaming-mchanganyiko.html

Copyright ©BongoLife - All rights reserved.

Redesign by bloggun.xyz
Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
More Details