NDOA NI FURAHA

*NDOA NI FURAHA*


❤❤❤❤❤
*Ndoa nyingi zipo kwa ajili tu ya kupata mtu wa kulala naye, kuamka naye, kuzaa naye, kuzaa na kulea watoto na kuzeeka pamoja. hii sio sahihi kabisa, ndoa inahitaji kufurahi kati yenu wawili*❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
*Ngoja nikumegee siri moja, sababu ya kwanza kabisa ya kuwa katika ndoa ni kuwa na mtu wa karibu ambaye unaweza kufurahia naye maisha, na huyo ndio mume wako*❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
*Ndoa nyingi hujikuta wanaishi bila furaha, wanazeeka tu pamoja lakini hakuna kati yao ambaye anafurahia kuwepo katika ndoa hiyo*❤❤❤❤❤

*HEBU ANGALIA HAYA*


❤❤❤❤❤
*Jiulize, ni lini mara ya mwisho ulimbusu  mumeo? ni lini mara ya mwisho ulimkumbatia kimahaba mumeo? ni lini mara ya mwisho ulimnong’oneza  mumeo maneno mazuri ya mahabbah naye akatabasabu*❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
*Je, ni lini ulimlisha mumeo chakula kama ishara ya mahaba? ndoa nyingi ukiona mmoja anamlisha mwenziwe basi ujue huenda mke au mume mahututi na anashindwa kula mwenyewe. usisubiri aumwe ndio umwonyeshe upendo huu, unaweza kumfanyia hata sasa wakati ni mzima kabisa*❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
*Usisubiri mume wako aombe chakula au penzi. Mwanamke tambua kuwa mumeo hayo ni mahitaji yake ya msingi sio mpaka aombe*❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
*Sio lazima umsubiri mwenzako  aumwe ndio umbebe, unaweza kufanya hivi wakati wowote na ni ishara tosha ya furaha katika ndoa*❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
*Sio lazima usubiri sherehe maalumu kumzawadia mwenzio, unaweza kufanya hivyo wakati wowote na ni ishara ya kujali*❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
*Sio lazima mkichelewa kutoka kazini ndio muoge pamoja, mnaweza kufanay hivi muda wowote na huongeza upendo*❤❤❤❤❤

*❤Ni ushauri.....ukiupenda ufanyie kazi*❤

 **

*Usikubali kuwekwa  kimada au mchepuko  wa Mtu akutumie  kama pipa la taka Kuna kukutupia  uchafu wake*

*Wanawake walio wekwa kuwa  michepuko kwanza  ni wale  wako kata tamaa ya maisha  yaani  akili zake zimeishia  hapo sababu  haweze  kujiongezea  Hapo kwa Sababu   hakuweshimu mwili Wake*

*Wengi  hudhani  kuwekwa kimada  ama kuzungunguka  basi kunawasaidia  kiuchumi  my friend  unajidanganya hapo na hivo vipesi  vyake  nawe anakutumia  na anakuathiri  kisaikolojia  Maana hutojingeza uache kuzurura  kwa sababu  umeathirika  kimaumbile na kisaikolojia unaona ushaolewa sababu umezoea*

*Hibu wacha  muogope mungu wako mwili wako na   na ujifadhi mwili wako*

*Ukitaka  kutafuta  mafanakio  tafuta  kwa njia  ya halali na siyo haram*

*Fa hivi Kama   upo tu nyumbani  unaasubiri kuolewa  Basi  usikae  tu unasubiri mpaka ukakosa pesa ya  lotion  itakupelekea  wewe kuzurura  na kupata madhambi  ya uzinifu bure*

*Kwanza  hata  kamtaji  Kadogo  tu kwa  mzazi wako  siyo lazima  ukafanye  biashara bararani  ukasema  Mimi  nauzuri  Wangu wote huu nikakae  barabarani  hata hapo  kwenu  mfano asubuhi  pika hata  chapati tena pika asubuhi baada ya fajr  Kuna wanaume zawatu hawajawahi kutengezewa breakfast tangu waoe  isipokuwa weekend tu*

*Maana mke Kalala mpaka  mume anapondoka  kazini  mke hajui  ndio kwanza  kalala  kwa hiyo  akikutaa  umpika  chapati  na supu lazima apitie  kwako ale  ndipo aende kazini*

*Pia Jioni choma  hata viazi usikate kupita umbea  tena Wale  marafiki  zako wambie  walio zoea  kukuletea  umbea lazima  watanunua  hata wakikupigisha umbea  kwanza hutosikiliza  umbea wao  wewe  unawaza  tu   akupe chako huo umbea  hakuhusu kwani mtume ywasema uzuri WA mwislamu ni kuwacha jambo lisilomuhusu*

*Ukifanya hivi mwezi tu  utapata utaji ufungue biashara yako kubwa unayoitamani kwani unakula jasho lako na pesa yako ni Tamu kuliko ya  mwanamume*

*Na pesa ya Mtu ni itakufanya kukufanya mtumwa  lakini  kamwe pesa  yako  haiwezi  kukufanya  mtumwa bali utamfainyia malengo si kila  aliyefanikiwa  Basi  alizaliwa  na utajiri  laa hash alianza  kidogo Kidogo mpaka  ikafikia  hapo  alipo*

*usisahau kumtegemea  kwani  hata  mbuyu  ulianza  Kama mchicha*

*Inahusu single na single  mother*

*Mwanamke  mzuri  siyo  Yule   aliyedanga  Bali  mwanamke  mzuri  siyo  anayedanga  bali mzuri  ni  yule  anajiheshim  na kuhifadhi mwili wake*

*Ushauri bure kiupende uchukue ufanyie  usipompenda uache*

*JITAMBUE DADA'*

Where do you want to donate?

Traktir Kopi
Bank BCA - An. Asep Saepul Anwar/ Rek - 648xxxx
Treat the creator to coffee by giving a small donation. click the arrow icon above

Chapisha Maoni

Copyright ©BongoLife - All rights reserved.

Redesign by bloggun.xyz
Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
More Details