Kitu usichokijua kuhusu Maraisi wa Tatu wa East Africa

Maraisi wa Tatu wa East Africa, 👉PAUL KAGAME 👉UHURU KENYATTA 👉JOHN P. MAGUFULI
LEO CHUKUA NA HII..

Najua unajua ila nakujuza zaidi....
Maraisi wa Tatu wa East Africa,
👉PAUL KAGAME
👉UHURU KENYATTA
👉JOHN P. MAGUFULI
Hawa wote wamezaliwa mwezi mmoja...MWEZI HUU WA KUMI...
👉BIRTHDAY zao pia zinapishana siku tatu tatu...
23OCT - KAGAME
26OCT - UHURU
29OCT - MAGUFULI

👉UMRI WAO WANATOFAUTIANA MIAKA MIWILI MIWILI KWA KUZALIWA...
1957 (Kagame)
1959 (Magufuli)
1961 (Uhuru)
👉TUMALIZE NA HII..
-Uhuru alichaguliwa 2013
-JPM alichaguliwa 2015
-Kagame amechaguliwa tena mwaka huu 2017
👉TOFAUTI IKIWA NI MIAKA MIWILI MIWILI....
Zaidi wake zao wote ni Janet

Where do you want to donate?

Traktir Kopi
Bank BCA - An. Asep Saepul Anwar/ Rek - 648xxxx
Treat the creator to coffee by giving a small donation. click the arrow icon above

Chapisha Maoni

Copyright ©BongoLife - All rights reserved.

Redesign by bloggun.xyz
Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
More Details